• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILEMELA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
      • Mikakati ya MSM
    • Mikakati ya MSM
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha ukaguzi wa ndani
      • Kiengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Uhusiano na TEHAMA
    • Kata
      • Sangabuye
      • Nyasaka
      • Buswelu
      • Nyamhongolo
      • Kayenze
      • Bugogwa
      • Shibula
      • Ilemela
      • Kahama
      • Kiseke
      • Pasiansi
      • Kawekamo
      • Ibungilo
      • Nyamanoro
      • Buzuruga
      • Mecco
      • Nyakato
      • Kirumba
      • Kitangiri
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Michezo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya wah. wabunge na madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • MipangoMiji na Mazingira
      • Uchumi Afya na Elimu
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba

Maendeleo ya Jamii

1.0 UTANGULIZI

Idara ya Maendeleo, Ustawi wa Jamii na Vijana ni miongoni mwa Idara 13 na vitengo 6 vinavyojitegemea katika  Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, na ni kiungo muhimu kati ya Halmashauri na jamii kwa kuratibu na kusimamia shughuli za Manispaa. 

1.1 MUUNDO WA IDARA

Idara ina vitengo Vikuu Vitatu ambavyo ni:

  • Maendeleo ya Jamii kikiwa na watumishi 18
  • Ustawi wa Jamii kikiwa na watumishi 10  na
  • Maendeleo ya Vijana 1

Idara ina jumla ya watumishi 29 kati yao wanaume ni 9 na wanawake ni 20 na viwango vyao vya elimu ni kuanzia ngazi ya Astashahada hadi shahada ya Uzamili kwenye fani za Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Elimu ya Jamii.

1.2  SHUGHULI  ZA IDARA. 

1.2.1 Maendeleo ya Jamii

Kushirikisha jamii katika kubaini, kubuni, kupanga, kutekeleza na kufuatilia miradi mbalimbali ya Maendeleo.

Kuongoza na kusimamia utekelezaji wa mipango/miradi ya Maendeleo.

Kufanya utafiti na kutoa mapendekezo ya namna ya kukabiliana na changamoto mbalimbali za maendeleo kwa kushirikiana na watumishi wa sekta nyingine.

Kuelimisha viongozi wa Serikali katika ngazi mbalimbali na viongozi wa dini na mashirika yasiyo ya kiserikali kuhusu Sera mbali mbali za Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto.

Kuelimisha na kuhamasisha jamii kupambana na VVU na UKIMWI.

Kueneza elimu ya Uraia mwema.

Kufanya uchambuzi wa matatizo ya jamii na kutoa ushauri wa kitaalamu kwa ngazi zingine.

Kuvisaidia vikundi maalum (vya ushirika, vikundi vya kijamii, vya kidini, n.k.) kuandaa miradi na kuwaelekeza namna ya kupata mitaji.

Kuelimisha jamii juu ya kutekeleza masuala ya kijinsia na kuratibu shughuli zote za Maendeleo ya Jamii kwa kuzingatia jinsia.

Kuhamasisha jamii kuondokana na mila/desturi zilizopitwa na wakati na kuwa na mtazamo wa kupenda kuleta mabadiliko.

Kuratibu shughuli za mifuko/mikopo ya wanawake.

Kuhamasisha jamii kutumia teknolojia rahisi na sahihi na.

Kuelimisha jamii kuhusu masuala ya watoto.

Kuratibu maadhimisho mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa.

 

1.2.2 Ustawi wa Jamii

Kusimamia utekelezaji wa Sheria, Sera, Miongozo, Kanuni na viwango vya ubora katika utoaji wa huduma mbalimbali za ustawi wa jamii.

Kufanya tathmini, ufuatiliaji na utaratibu wa huduma za ustawi wa jamii.

Kujenga uwezo wa kitaaluma kwa Maafisa Ustawi wa jamii ili waweze kutoa huduma timilifu kwa wananchi.

Kufanya tafiti zinazohusu huduma za ustawi wa jamii.

Kuwajengea uwezo watumishi wa ustawi wa jamii na Wadau katika utoaji wa huduma.

Kuanzisha na kuendeleza programu za kushawishi, kutetea na kulinda haki za makundi maalumu yakiwemo watu wenye ulemavu wa viungo na ngozi, wazee na wasiojiweza, familia zenye dhiki na watoto waishio katika mazingira hatarishi.

Kujenga Uhusiano na wadau wa nje na ndani ili kutoa huduma bora za ustawi wa jamii.

Kuratibu shughuli za mabaraza ya vijana.

1.2.3 Maendeleo ya Vijana

  • Kuratibu na kusimamia utekelezaji wa Sera ya Vijana.
  • Kuratibu shughuli za mifuko/mikopo ya vijana.
  • Kuhamasisha vijana kufufua moyo wa kujitolea kwa ajili ya Maendeleo yao na jamii kwa ujumla.
  • Kupanga na kuendesha mafunzo yanayohusu stadi za maisha, stadi za kazi na Afya ya uzazi na kujamiina kwa Vijana.
  • Kuanzisha vituo vya ushauri nasaha, ajira kwa vijana na elimu ya familia kwa kushirikiana na Vyama visivyo vya kiserikali.
  • Kukusanya takwimu mbalimbali zinazohusu vijana.
  • Kuratibu shughuli za NGOs mbalimbali zinazoshughulikia masuala ya Vijana.
  • Kuandaa mpango wa kuboresha malezi ya vijana.
  • Kuhamasisha waajiri na wafadhili mbalimbali wachangie mfuko wa mikopo nafuu kwa vijana katika maeneo mbalimbali.
  • Kukuza na kuendeleza vipaji mbalimbali walivyonavyo vijana ili kuwawezesha kujiajiri.
  • Kuandaa mipango ya kuhamasisha vijana ili kuanzisha miradi midogo midogo ya kujiajiri.
  • Kuratibu shughuli za mabaraza ya vijana.
  • Kuandaa na kuratibu shughuli za matamasha ya vijana.
  • Kuratibu shughuli za usajili wa NGOs na CBOs zinazofanywa ngazi ya Wilaya.
  • Kuratibu mafunzo ya  utoaji wa mbinu za kuwasaidia vijana kujikomboa na umaskini, ujinga, kupiga vita UKIMWI, madawa ya kulevya na kutetea usawa wa jinsia.

Matangazo

  • Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2019 December 18, 2018
  • MATOKEO YA DARASA SABA 2018-ILEMELA October 23, 2018
  • ILANI KWA WANANCHI WA ILEMELA October 18, 2018
  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 August 14, 2018
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HATUA ZA UKAMILISHAJI MRADI WA MAJI IGOMBE

    January 25, 2019
  • MBUNGE WA JIMBO LA ILEMELA AKABIDHI SARUJI NA CHOKAA KWA MANISPAA YA ILEMELA

    January 24, 2019
  • ILEMELA KUKUSANYA KIASI CHA SHILINGI BILIONI 8.8 KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020

    January 16, 2019
  • UKARABATI KITUO CHA AFYA BUZURUGA KUKAMILIKA MWISHO WA MWEZI WA KWANZA 2019

    January 08, 2019
  • Angalia zote

Video

Maafisa Elimu Kata wakabidhiwa pikipiki
Video zaidi

Ukurasa wa Karibu

  • Matokeo kidato cha nne
  • Salary slip

Kurasa zinazofanana

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Anuani ya Posta: 735 MWANZA

    Simu: + 255 736 200910

    Simu:

    Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela.Haki zote zimeifadhiwa