UTANGULIZI
Halmashauri ya Manispaa Ilemela ni miongoni mwa Halmashauri zinazotekeleza muundo mpya wa Halmashauri za Manispaa ambao uliidhinishwa 08.07.2011 na Waziri Mkuu Mh Mizengo P Pinda. Kwa sasa kitengo kina watumishi watatu ambao ni Afisa habari na uhusiano(Mkuu wa Kitengo) mmoja na afisa habari msaidizi na mtaalam mmoja wa masuala ya TEHAMA (Computer). Toka kuanzishwa kwake hadi sasa kitengo hiki kimejitahidi kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa ili kuweza kufanikisha lengo namba 9 la Serikali ambalo ni kuimarisha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. Jukumu kubwa la kitengo hiki ni Kusimamia masuala yote ya Habari na Mawasiliano ya Halmashauri halikadhalika kusimamia mifumo yote ya manispaa. Kitengo hiki kimegawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni:
Majukumu ya Kitengo
Kusimamia Matengenezo yote ya vifaa vya Tehama kwa kuhakikisha vifaa vyote vipo katika hali nzuri
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
Anuani ya Posta: 735 MWANZA
Simu: + 255 736 200910
Simu:
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Haki Miliki 2019 Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela.Haki zote zimeifadhiwa